johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kapelekwa simiyu Kwa wachunga ng'ombeHivi jamaa kapelekwa wapi?..
Huwa ana lafudhi flani hivi kama zile za wapiga unga[emoji23][emoji23][emoji23]
Ntwara kaja yule brigedia wa Kagera!Ngoja nicheki nione huku kwetu N'twara tumeletewa nani, labda ni kijiko au nyundo
Kwani wewe bado haujarudi kwenu Burundi?Labda mke wa Mongella atapunguza ubabe na uonevu kwa watumishi wa umma na hasa trafic, ila Simiyu na Mwanza sio mbali ngoja tuone!
Mkuu naona una mimba yangu! Njoo inbox tumalize tofauti zetu pls!Kwani wewe bado haujarudi kwenu Burundi?
Hahahaaaa.......!Ngoja aje kuwajazia bajaji mjini.
Ntwara imekula kwao sababu huyu jamaa hamna kitu ss wa Bukoba tumefurahi Sana kuondoka kwake.hana mwamuzi na anapenda Sana majungu huwezi jua Kama ni mjeshiNtwara kaja yule brigedia wa Kagera!
Kabisa Hana maamuzi wahaya walimpelekesha mno.we utakuaje mkuu wa mkoa na stendi inabaki hiv tuNtwara imekula kwao sababu huyu jamaa hamna kitu ss wa Bukoba tumefurahi Sana kuondoka kwake.hana mwamuzi na anapenda Sana majungu huwezi jua Kama ni mjeshi
Akili za zuzu daima huwa kama zakoMkuu naona una mimba yangu! Njoo inbox tumalize tofauti zetu pls!
Acha upuuzi unashabikia mambo usiyoyajua. John Mongella ni jembe?Mwanza na Mbeya ni mikoa inayotegemeana na kutendeana haki, hongereni sana.
Ujio wa komredi Albert Chalamila unakwenda kuinua zaidi uchumi wa mkoa wa Mwanza, jambo la muhimu ni kumpa ushirikiano wa kutosha na kuchapa kazi.
Mwanza limetoka jembe limeingia sululu, Yote heri.
Mungu awabariki!
Mwanza imetulia!Acha upuuzi unashabikia mambo usiyoyajua. John Mongella ni jembe?
Bukoba hamna stendi ni dimbwi la maji.barabara ya gaguthi ni uchafu haina hata viwango inatitia kila sehemu na ni viraka kuanzia rock pub mpaka kibeta na jamaa alikuwa anaangalia tu Kama alivyo Ras wake naye ni mzigo Pamoja na uprofesa wake hamna kitu wananchi wanasubiria huruma ya mama.kawashusha madaraka wahudumu na maps na kushusha mishahara yao bila kigezoKabisa Hana maamuzi wahaya walimpelekesha mno.we utakuaje mkuu wa mkoa na stendi inabaki hiv tuView attachment 1786762