Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 36,315 Reaction score 104,500 Jul 4, 2026 #21 Yani kila mara ni kero ile ile, hii nchi kuendelea labda mwalimu afufuke!😣
N Ninaweza Platinum Member Joined Dec 14, 2010 Posts 15,168 Reaction score 11,024 Jul 4, 2026 #22 Moisemusajiografii said: Kwa hiyo waishio Mazoo kwenye ziwa Victoria hawana tofauti na wale wa mikoa yenye ukame na shida ya maji!? Click to expand... Ndoa mjue kuongozwa na serekali iliyofeli yahan hata ukelewe hawana maji.
Moisemusajiografii said: Kwa hiyo waishio Mazoo kwenye ziwa Victoria hawana tofauti na wale wa mikoa yenye ukame na shida ya maji!? Click to expand... Ndoa mjue kuongozwa na serekali iliyofeli yahan hata ukelewe hawana maji.
N Ninaweza Platinum Member Joined Dec 14, 2010 Posts 15,168 Reaction score 11,024 Jul 4, 2026 #23 Seran said: Yani kila mara ni kero ile ile, hii nchi kuendelea labda mwalimu afufuke!😣 Click to expand... Kumbe nawe upo Mwanza. Mwanza ni shida MWAUWASA wamefeli vikubwa sana
Seran said: Yani kila mara ni kero ile ile, hii nchi kuendelea labda mwalimu afufuke!😣 Click to expand... Kumbe nawe upo Mwanza. Mwanza ni shida MWAUWASA wamefeli vikubwa sana
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 36,315 Reaction score 104,500 Jul 4, 2026 #24 Ninaweza said: Kumbe nawe upo Mwanza. Mwanza ni shida MWAUWASA wamefeli vikubwa sana Click to expand... Sijui wanalipwa mishahara ya nini! Bill zikitoka kama ulikuwa unaogesha mtaa mzima😕
Ninaweza said: Kumbe nawe upo Mwanza. Mwanza ni shida MWAUWASA wamefeli vikubwa sana Click to expand... Sijui wanalipwa mishahara ya nini! Bill zikitoka kama ulikuwa unaogesha mtaa mzima😕
Killing machine JF-Expert Member Joined Jul 24, 2022 Posts 2,396 Reaction score 3,444 Jul 4, 2026 #25 Inashangaza na it's shangaza daima kwa jiji Kama mwanza kukosa maji na huku Lina maji yanayo ilisha misri
Inashangaza na it's shangaza daima kwa jiji Kama mwanza kukosa maji na huku Lina maji yanayo ilisha misri