Ni mama wa Kijita mitaa ya Mkombozi Kilimahewa Mwanza mama ashikwa majira ya saa 5 mchana.Inasemekana watoto wanaopoteaga katika mazingira ya kutatanisha anawachukuaga huyo mama.Kakutwa mmoja na wengine kasema atawarudisha baada ya kuwa wametoka kazini. Kachomewa nyumba na mpaka sasa yuko Polisi.
Vipi,hujatueleza kinachondelea! Bado yupo Polisi,na hao watoto alio dai wapo KAZINI,wamekwisha onekana?