Video kaliii..kutoka WCB wasafiiiii chama la wana Rayvanny ft diamond platnumz ..
ngoma ina kwenda kwa jina la MWANZA.. ikiwa ime tumia LOCATION kutoka MWANZA ila tukaona sio mbaya tukiwaacha wanaume wa dar patupu location nyingne ime fanyika dar japo sio qali kama ya mwanza [emoji91][emoji91][emoji91]