Mwanza: Mkutano wa hadhara wa CCM viwanja vya Furahisha wadoda

Mwanza: Mkutano wa hadhara wa CCM viwanja vya Furahisha wadoda

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ushahidi huu hapa, mimi sitaongeza neno lolote, jionee mwenyewe.

FB_IMG_1675541561918.jpg
FB_IMG_1675541555174.jpg
FB_IMG_1675541548447.jpg
 
Wameyavaa muda mrefu hata hivyo tangu 2016, acha wachapwe tu
Picha rasmi ni ile inayoonyesha Umati halisi,wakati mkutano ukiendelea!

Pia tungeona wahutubiaji wa mkutano,ndio tungepata uhakika wa tukio!

Picha hizi zote zimepigwa muda usiojulikana,huenda ilikuwa mapema kabla ya muda rasmi.

Kwa sababu,mpigaji tayari alikuwa na lengo rasmi la kuitumia picha yake!
Kujaribu kujibu mapigo ya kudorola kwa mikutano ya Chadema kanda ya Ziwa.
Jambo ambalo bado linaisumbua Chadema mpaka sasa!

Pia hata kwa umati huo,ukizingatia kwa sasa,wananchi hawatofautishi kati ya "Chadema" wala "CCM-Asali" kwa sababu kati ya hao hakuna mtetezi wao.
Bali genge la walamba asali.

CCM halisi aliondoka nayo huyu mwamba
[emoji116][emoji116]
IMG-20230204-WA0007.jpg
 
Picha rasmi ni ile inayoonyesha Umati halisi,wakati mkutano ukiendelea!

Pia tungeona nahutubiaji!

0icha zote zimepigwa muda usiojulikana,huenda ilikuwa mapema kabla ya muda rasmi.

Kwa sababu,mpigaji tayari alikuwa na lengo rasmi la kuitumia picha yake,kujaribu kujibu mapigo ya kudorola kwa mikutano ya Chadema kanda ya Ziwa.

Pia hata kwa umati huo,ukizingatia kwa sasa,wananchi hawatofautishi kati ya Chadema wala CCM, kwa sababu kati ya hao hakuna mtetezi wao.
Bali genge la walamba asali.

CCM halisi aliondoka nayo huyu mwamba
[emoji116][emoji116]
View attachment 2506525
Hata sijui unaandika nini ! Jiwe ambaye hakuwahi kuwa hata katibu kata anawezaje kuondoka na ccm ?
 
Back
Top Bottom