Mwanza: Mkutano wa hadhara wa CCM viwanja vya Furahisha wadoda

Wameyavaa muda mrefu hata hivyo tangu 2016, acha wachapwe tu
Picha rasmi ni ile inayoonyesha Umati halisi,wakati mkutano ukiendelea!

Pia tungeona wahutubiaji wa mkutano,ndio tungepata uhakika wa tukio!

Picha hizi zote zimepigwa muda usiojulikana,huenda ilikuwa mapema kabla ya muda rasmi.

Kwa sababu,mpigaji tayari alikuwa na lengo rasmi la kuitumia picha yake!
Kujaribu kujibu mapigo ya kudorola kwa mikutano ya Chadema kanda ya Ziwa.
Jambo ambalo bado linaisumbua Chadema mpaka sasa!

Pia hata kwa umati huo,ukizingatia kwa sasa,wananchi hawatofautishi kati ya "Chadema" wala "CCM-Asali" kwa sababu kati ya hao hakuna mtetezi wao.
Bali genge la walamba asali.

CCM halisi aliondoka nayo huyu mwamba
[emoji116][emoji116]
 
Hata sijui unaandika nini ! Jiwe ambaye hakuwahi kuwa hata katibu kata anawezaje kuondoka na ccm ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…