Nop lile eneo ni special for machinga kabisaIsije kuwa ndio 'fursa' ya kuwaondoa.
Nimeshatoka hapo zamani, nasaka mkate wa siku ya leo.Tuwekee picha mkuu
Wale Wahindi wanapambana sana Machinga Watoke hilo Eneo.. Zinaweza kua Njama piaNop lile eneo ni special for machinga kabisa
Wale Wahindi wanapambana sana Machinga Watoke hilo Eneo.. Zinaweza kua Njama pia
Yeah inawezekana coz vibanda vilivyoungua ni vile vilivyopakana na mahekalu yao... Ila waangalie wasije fanyiwa kama Mukesh.Wale Wahindi wanapambana sana Machinga Watoke hilo Eneo.. Zinaweza kua Njama pia
walimfanya nini mukesh?Yeah inawezekana coz vibanda vilivyoungua ni vile vilivyopakana na mahekalu yao... Ila waangalie wasije fanyiwa kama Mukesh.
Waweza kuta waliopata majanga wasukuma hawafiki hata nusuPoleni wajukuu zangu wasukuma.
Walitekeza vyombo vyake vya usafiri na bidhaa zakewalimfanya nini mukesh?