luofe
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 330
- 143
Nimechaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha CUHAS (BUGANDO) kusoma DOCTOR OF MEDICINE! nyumbani hali ngumu nimefanikiwa kupata msaada kutokta kwa watu mbali mbali kulipa michango na nimebakiwa na sh 1500000
sipendi kuendelea kuomba na miaka mitano ijayo naomba mnishauri biashara ya kufanya ambayo haitaji usimamizi wa hali ya juu ili nisiharibu chuoni kwa mtaji huo!
sipendi kuendelea kuomba na miaka mitano ijayo naomba mnishauri biashara ya kufanya ambayo haitaji usimamizi wa hali ya juu ili nisiharibu chuoni kwa mtaji huo!