Nimechaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha CUHAS (BUGANDO) kusoma DOCTOR OF MEDICINE! nyumbani hali ngumu nimefanikiwa kupata msaada kutokta kwa watu mbali mbali kulipa michango na nimebakiwa na sh 1500000
sipendi kuendelea kuomba na miaka mitano ijayo naomba mnishauri biashara ya kufanya ambayo haitaji usimamizi wa hali ya juu ili nisiharibu chuoni kwa mtaji huo!
Tafuta kona nzuri karibu na chuo hicho, ingia ubia na Mama lishe mzoefu, fungua mgahawa na uufanyie promo kubwa wanachuo wenzio wawe wanakula hapo. Utapata mshiko wa kujidai. Food industry inalipa hakuna mchezo, kikubwa ni location nzuri.

Hilo wazo la kuwa partership na mama lishe naona kama linaweza kukufaa, jitahidi tuu kumpata mtu mwaminifu na pia muweke makubaliano yenu wazi. Anafanya kazi na wewe unafanya bidii kuongeza wateja, halafu uwe unazidi kuiboresha time after time.