Mwanza mwanza mwanza

mawazo ya kufungua mpesa ni ya busara sana,fanyia kazi usahauri huo,jipe moyo utashinda!
 
mawazo ya kufungua mpesa ni ya busara sana,fanyia kazi usahauri huo,jipe moyo utashinda!

asante kaka! but kupata line zote nne inaweza ika cost sh ngapi?
 
Chukua hizo 1.5mil kawape masikini nawe utabarikiwa,Yesu asema!
 
nimeyapokea mawazo yenu 1; bodaboda 2; huduma za m pesa, tigo pesa, airtel money, thus najaribu fanya evaluation kwenye hiyo ya pili then nifanye comparison! asanteni ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…