Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Haiishi kesho Wala keshokutwa,mimi ngosha..najua ndugu zangu wakojeWasukuma, shida iko wapi? Elimu, ujinga, ushirikina uliopitiliza!!!
Shida iko wapi kwa watu wa Kanda ya Ziwa?
Hiyo kuisha labda wapitishe sheria kuwa wanasiasa mpaka wawe na degree kuendelea.duh, hii mambo bado ipogo ?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Huku ndo wanajotokea kina Paulsylvester Suzy Elias Nyankurungu2020 Crimea Stroke BakiliMuluzi na sukuma gang wengine
Wanajifanya wanamjua Mungu wakati kazi ni ushirikina tu na kuuana. Ndo mana ikeja kutokea wametoa tena Rais wa Tanzania hawa watu labda iwe mwaka 5000
AiseeHaiishi kesho Wala keshokutwa,mimi ngosha..najua ndugu zangu wakoje
Hakuna ngosha kama wewe.Haiishi kesho Wala keshokutwa,mimi ngosha..najua ndugu zangu wakoje
Ndio asili yao wasukuma tumeamu kuzikataa dini za wahuni wazungu na waarabu.Hili eneo kwanini ushirikina unaaminiwa sana ?
Waharifu wote wamejificha ccm..huko ndiko hupata kinga dhidi ya dola.diwani wa ccm, ccm na uhalifu ni.pete na kidole