Mwanza: Mzee wa miaka 50 atuhumiwa kumbaka binti wa miaka 7

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Mwanaume mmoja mwenye umri zaidi ya miaka 50 aliyejulikana kwa jina la Hakimu Juma, mkazi wa Chamwenda, Kata ya Nyansaka Wilayani Ilemela Jijini Mwanza amejikuta matatani baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kumbaka binti wa miaka saba mtoto wa jirani yake.

Inadaiwa kwamba mzee huyo amekuwa na tabia ya kuwashika makalio pamoja na sehemu za siri mabinti wa mtaa huo hadi alipofikia hatua ya kumuingilia kimwili binti huyo wa miaka saba anayesoma darasa la pili.

Mama mzazi wa binti aliyebakwa ameeleza namna alivyogundua tukio hilo la binti yake kuingiliwa na baba huyo:

"Nilikuwa namwambia sasa wewe unaumwa hujasema umepatwa na nini, sasa nikawa namuangalia nikaona suruali aliyokuwa amevaa ipo magotini na chupi pia imevuliwa nikamgeuza wakati namgeuza nikaona michirizi kalowa nikauliza wewe umepata UTI niliponusa mashuka nikasikia harufu ya maji ya kiume."

Kufuatia tukio hilo EATV ikazungumza na balozi wa serikali ya mtaa huo wa Chamwenda, Hassan Ngiziki na kusema mara baada ya mtuhumiwa huyo kufanya tukio hilo walibaini kuwa amekuwa na tabia ya kushika makalio na sehemu za siri baadhi ya mabinti wa mtaa huo ndipo akawasiliana na vyombo vya dola na kumkabidhi kwa ajili ya hatua nyingine za kisheria

Chanzo: EATV
 
Alikuwa anawashika makalio mabinti na aliachiwa tu siku zote hizi Hadi akabaka.
 
Huyo sio mzee asitafutiwe huruma ya hivyo,wanajaza tu magereza natamani wangekua wanamalizwa mapema kuliko kuhangaishana na kesi
 
Wasukuma ni wachawi. Naskia kuna msukuma mmoja alikuwa anamla binti yake kisa cheo. Na kweli huyo msukuma alipata vyeo vikubwa tu. Ila binti alijinyonga. WASUKUMA NI MADUWANZI.
 
Unaweza kukuta ni set up kisa huyu mwamba wa miaka 50 ana ugomvi na jirani.

Ikiwa ni kweli kabaka ujue kuna mkono wa mganga wa kienyeji kutoa masharti ya ndagu
 
Wasukuma ni wachawi. Naskia kuna msukuma mmoja alikuwa anamla binti yake kisa cheo. Na kweli huyo msukuma alipata vyeo vikubwa tu. Ila binti alijinyonga. WASUKUMA NI MADUWANZI.
Kwa ndagu usukumani hawajambo
 
Ila inasikitisha sana yaani.

Sasa kama alikuwa anatabia ya kushika watoto makalio kwa nini asingechukuliwa hatua kabla?
 
Mwanaume mmoja mwenye umri zaidi ya miaka 50 aliyejulikana kwa jina la Hakimu Juma, mkazi wa Chamwenda, Kata ya Nyansaka Wilayani Ilemela Jijini Mwanza amejikuta matatani baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kumbaka binti wa miaka saba mtoto wa jirani yake.

Inadaiwa kwamba mzee huyo amekuwa na tabia ya kuwashika makalio pamoja na sehemu za siri mabinti wa mtaa huo hadi alipofikia hatua ya kumuingilia kimwili binti huyo wa miaka saba anayesoma darasa la pili.

Mama mzazi wa binti aliyebakwa ameeleza namna alivyogundua tukio hilo la binti yake kuingiliwa na baba huyo:

"Nilikuwa namwambia sasa wewe unaumwa hujasema umepatwa na nini, sasa nikawa namuangalia nikaona suruali aliyokuwa amevaa ipo magotini na chupi pia imevuliwa nikamgeuza wakati namgeuza nikaona michirizi kalowa nikauliza wewe umepata UTI niliponusa mashuka nikasikia harufu ya maji ya kiume."

Kufuatia tukio hilo EATV ikazungumza na balozi wa serikali ya mtaa huo wa Chamwenda, Hassan Ngiziki na kusema mara baada ya mtuhumiwa huyo kufanya tukio hilo walibaini kuwa amekuwa na tabia ya kushika makalio na sehemu za siri baadhi ya mabinti wa mtaa huo ndipo akawasiliana na vyombo vya dola na kumkabidhi kwa ajili ya hatua nyingine za kisheria

Chanzo: EATV
Maduka tisa hua kuna matukio jamani
 
Zee linataka kufia butimba tu, kashindwa kwenda makoroboi kununua magumegume mpaka kaona watoto.
 
Wasukuma ni wachawi. Naskia kuna msukuma mmoja alikuwa anamla binti yake kisa cheo. Na kweli huyo msukuma alipata vyeo vikubwa tu. Ila binti alijinyonga. WASUKUMA NI MADUWANZI.
Hakuna kabila ambalo hakuna WACHAWI
 
Back
Top Bottom