Mwanza: Nahitaji simtank

mpwakimeo

Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
91
Reaction score
59
Kama uko maeneo ya Mwanza na una Simtank used unauza, naomba tuwasiliane inbox tufanye biashara. Asante sana.
 
Kwanini used boss jongea kwa Zongii Pamba road hapo ongea nao vizuri hata mkopo watakupa
 
Kwanini used boss jongea kwa Zongii Pamba road hapo ongea nao vizuri hata mkopo watakupa
Asante kiongozi. Ni ushauri mzuri. Bei zao zinaendaje hapo kwa Zongii. Nitajaribu kupitia.
 
Kuwa makini watu sio waaminifu. Nunua halali
 
Lita ngapi jombaaa? Lazima iwe simtank?
Siyo lazima brand ya simtank kaka. Mi nahitaji tank la kuhifadhia maji nyumbani sema tu jina la simtank limezoeleka. Lita 1000 au 2000. Hata 3000 siyo mbaya, tutaangalia na bei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…