J23
Senior Member
- Nov 11, 2016
- 151
- 193
Wadau wote wa JF poleni na majukumu.
Nimetenga 5M hadi 7M, Natafuta kiwanja Mwanza kiwe halmashauri ya ilemela au nyamagana.
Sifa za eneo
1. Kiwe sehemu tambalale au mwinuko mdogo unaoruhusu gari kufika na kupaki
2. Kiwe kimepimwa na kina hati.
3. Kisiwe kwenye mkondo wa maji
4. Kiwe eneo ambalo napanda daladala Moja kufika mjini au nauli isiozidi tsh 1000.
5. Kisiwe kwenye makazi holela au kiwe eneo wanajenga Kwa kufuata mpango miji.
6. Pawe na huduma ya kijamii kama umeme na maji yamefika.
Zingatia
Wadau Mimi ni mgeni Mwanza na siufahamu vizuri mji huu hivyo napenda kuwaomba wadau mnipe ushauri ni maeneo yapi ni mazuri Kwa kuishi na kuweka makazi ya kudumu.
Kama kuna mtu anauza site nzuri zaidi naweza ongeza offa hadi kufikia 10M kulingana na ukubwa wa eneo na mahali kilipo.
Taratibu zote za ununuzi wa ardhi zitafuta ikiwemo ku verify hati kama ni halali kwenye mamraka husika na kufanya tathmini ya ardhi kama ni value for maney.
Njoo pm kama unacho kiwanja Mwanza na unauza.