Mwanza: Nauza Industrial Welding Machine.

Mwanza: Nauza Industrial Welding Machine.

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
IMG-20240705-WA0003.jpg


wazee wa kuchomelea vyuma vizito, vigumu

mashine hio hapo inafanya kazi vizuri sana.

niko mwanza igoma

bei elekezi ni Milioni moja Tsh.

Tuwasiliane Whatsapp +255772225555
 
Kwa nini unauza machine nzuri hivi, heavy duty machine hii.
 
Heavy duty machine ya nguvu tena ya maana kabisa hii,
Sijui kwann unaiuza, daaaah
 
Back
Top Bottom