Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Linatafutwa jitu hapo.
 
Una genye kama za kuku huwezi hata kuhimili kidogo ukamtunzia mumeo? Mfate huko huko mbali mkanyanduane, hivi siku akigundua je atakachokufanyia utatusimulia humu?
Ngoja tusubiri. Mi nishawahi ona wanawake ambao waume zao wako mbali, na hawatawaliwi na genye, mume anarudi wanafanya Yao, then anaendelea na shughuli zake za kusafiri. So huwa ni tabia ya mtu husika, tabia hujitengeneza na kuja kuacha kama alivosema Iceberg9 , ni Mungu tu ndo anaweza mbadilisha. Hapa mnajaza upepo, muacheni akafanye.
 
Una genye kama za kuku huwezi hata kuhimili kidogo ukamtunzia mumeo? Mfate huko huko mbali mkanyanduane, hivi siku akigundua je atakachokufanyia utatusimulia humu?
Yule bwege hawezi gundua
Nimemzid akili na maarifa
Hata biashara anayomiliki mie ndo niliibuni na kumpatia sponsor,so hana command kwangu👌
 
ID nyingine ya kiume imeenda hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…