Itabidi niwe napita pita sehemu hizo nikutane na an independent lady wa ukweliiUkiona mdada kajikalia tilapia au rayn's bay, peke yake hana time na mtu ujuwe ni mimi hizo ndo sehemu zangu weekend.
Enjoy sato sangala.
Oooh! shukraan kwa kumuunga Yahya.[emoji120]Allys star
Chakula cha pale sio kuzuri kiviile usile piza pale.Itabidi niwe napita pita sehemu hizo nikutane na an independent lady wa ukwelii
Am ur secret admire thou ππ
Zipo zenye nazo, ila chache.Ametoa VIP
Agent akatudanganya eti ina vyoo ndani kumbe hamna...
Watu wake waache uongo.
BonaselaMe napenda mahali penye menu matata...basi watakuwa washanikosa
Duh usifanye tukapigwa kuvamia wake za watuUkiona mdada kajikalia tilapia au rayn's bay, peke yake hana time na mtu ujuwe ni mimi hizo ndo sehemu zangu weekend.
Enjoy sato sangala.
Kirisimasi hii ulifichwa na nani? Nani kakuficha mpaka hujasema hizi holidays uko maficho yapi?Duh usifanye tukapigwa kuvamia wake za watu
Hii kesi tutaimaliza nikija MwanzaKirisimasi hii ulifichwa na nani? Nani kakuficha mpaka hujasema hizi holidays uko maficho yapi?
ππ€Hii kesi tutaimaliza nikija Mwanza