Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Chadema iko juu tu mjomba , ukitaka ushahidi Muulize ChongoloMbwembwe na kujimwambafy [emoji23][emoji23][emoji23]
DuhChadema yafika Ukara na kuwaombea Waliofariki kwenye Mv Nyerere , ikumbukwe kwamba kipindi cha ajali ya Mv Nyerere , Mbunge wa Chadema Ukerewe alisaliti Kisiwa hicho baada ya kununuliwa na Jiwe
View attachment 2713723View attachment 2713724View attachment 2713725
Mungu Ibariki CHADEMATaarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Kampeni Kabambe ya kuelimisha Wananchi kuhusiana na Umuhimu wa Katiba Mpya, na kuwaamsha wananchi juu ya jukumu la kulinda maliasili za Taifa, zikiwemo Bandari za Tanganyika zilizogawiwa kibwege kwa Waarabu wa Dubai kwa kisingizio dhaifu cha Uwekezaji, iko Mkoani Mwanza na leo imeingia kwenye visiwa vya Ukerewe.
Ratiba kamili hii hapa
View attachment 2713625
Hapa chini Mh Mbowe na Viongozi wenzake wakichukua tahadhari ya kuvuka Ziwa Victoria na Chopa yao
View attachment 2713629View attachment 2713630View attachment 2713631View attachment 2713632
Usiondoke JF , kuna mazito ya kutoka Mahakamani yatafichuliwa
Amen
Noma sanaUkerewe mmetishaaaaa
Mwongo wewenaangalia habari UTV muda huu nashangaa Katibu Mkuu wa Chadema nae yupo kwny Workshop moja wapo anahojiwa anaitaka Serikali ipeleke mabadiliko ya Sheria kurekebisha Tume ya Uchaguzi kabla ya Katiba Mkuu wakati walimtukana sana Zitto alipokuja na wazo hili na wao wakasema bila ya Tume huru sio tu hawatoshiriki Uchaguzi Mkuu ujao bali hautofanyika
Kidomo Domo wa Lumumbanaangalia habari UTV muda huu nashangaa Katibu Mkuu wa Chadema nae yupo kwny Workshop moja wapo anahojiwa anaitaka Serikali ipeleke mabadiliko ya Sheria kurekebisha Tume ya Uchaguzi kabla ya Katiba Mkuu wakati walimtukana sana Zitto alipokuja na wazo hili na wao wakasema bila ya Tume huru sio tu hawatoshiriki Uchaguzi Mkuu ujao bali hautofanyika
Usipotoshe, ACT walisema tume huru SASA ila katiba mpya eti kuelekea 2030!! CHADEMA haijawahi kupinga tume huru ilichosema ni kwamba Katiba mpya na tume huru yafanyike in requisitionnaangalia habari UTV muda huu nashangaa Katibu Mkuu wa Chadema nae yupo kwny Workshop moja wapo anahojiwa anaitaka Serikali ipeleke mabadiliko ya Sheria kurekebisha Tume ya Uchaguzi kabla ya Katiba Mkuu wakati walimtukana sana Zitto alipokuja na wazo hili na wao wakasema bila ya Tume huru sio tu hawatoshiriki Uchaguzi Mkuu ujao bali hautofanyika
SwadaktaUsipotoshe, ACT walisema tume huru SASA ila katiba mpya eti kuelekea 2030!! CHADEMA haijawahi kupinga tume huru ilichosema ni kwamba Katiba mpya na tume huru yafanyike in requisition
Emen...
Chadema ni Mpango wa MunguEmen...