beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesisitiza umuhimu Tafiti kujikita zaidi katika kubaini kwanini Kanda ya Ziwa inaongoza kwa Waathirika wa Saratani, ikielezwa Wanawake ni wahanga wakubwa wakikumbwa na Saratani za Kizazi na Matiti
Ameeleza hayo leo Novemba 18, 2021 Mkoani Mwanza wakati akishiriki Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 50 ya Hospitali ya Bugando
Amesema, "Kuna sababu kadhaa zinatolewa, wengine tunasema labda ni uchafuzi wa mazingira. Nitie shime kuendeleza tafiti hizi kubaini ni kwanini ili tuchukue hatua"