Ni wapi hapo, I mean ni eneo gani
Eneo ni Mlango mmoja karibu na Mabatini, au karibu na makaburi ya waislamu hapa Mabatini - MwanzaNi wapi hapo, I mean ni eneo gani
Yaani nimeangalia huo moto, nimewahurumia sana. hili soko ni kama vile huko Dar pale wanapoita MCHIKICHINI - KARUMEAiseee...Mola awanusuru watu na mali zao
Bila shaka itakua ni mwanza mjini
Eneo ni Mlango mmoja karibu na Mabatini, au karibu na makaburi ya waislamu hapa Mabatini - Mwanza
Nimewahurumia sana wafanyabiashara kwa kweli. Ukute mtu alikopa mtaji yaani ni shidaOh!! Nimepakumbuka Mkuu, poleni sana