Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Na kweliHaya yako planned ili kila mara tuendelee kuwaona wanaotuongoza wanafanya kazi kumbe hakuna kitu kinachofanyika. Tujiulize ...
Ushuru unaotozwa kila siku / mwezi / mwaka fedha zinafanya nini?
Poleni sana waanga wote wa tukio hilo. Kikubwa tunamuoba MUNGU wetu pasiwepo majerui au vifo. Mali wanaweza kubangaiza upya.Soko la Mlango mmoja jijini Mwanza linateketea kwa moto muda huu na jitihada za kuudhibiti zinaendelea chini ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella, amethibitisha kutokea kwa moto huo huku akisema bado chanzo cha moto hakijafahamika lakini hapo baadaye atatolea maelezo.
Wameishawaona watanzania malofa.. mwakani wanaanza kugawa tishet na kofia .. watanzania wanasaau tena wanapa ridhaa ya kushika atamu za uongozi.Na kweli
Naona wanagawana wanapokusanya bila kujali nini kitatokea
Dhulma mbaya sana
Poleni sana Sokoro, Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu mnachopitia. Utakuta kuna mtu kapoteza mpendwa wake kwenye ajali ya MV NYERERE na leo tena kapoteza mali yake hapo sokoni!
Haswaaaaaa, niko MwanzaMkuu, kumbe wewe ni jirani yangu?
hahhah ndio ni JINA LAKE hahahahaahah SOKO LA MLANGO MMOJALakini Karume - Mchikichini lina mlango mmoja? Au hio mlango mmoja ni jina tu?
NdioooooooooooooooooooooooooooooooooooooooKumbe mkuu na wewe ni mwenyeji wa jiji la mawe
Unafanya nini Nghwanza????Haswaaaaaa, niko Mwanza
ππππππ mxewwuuu. hahahahhah. halafu nakuja huko Italian Pub au tukae City Centre. nijibu kwenye smsUnafanya nini Nghwanza????
Soko la Mlango mmoja jijini Mwanza linateketea kwa moto muda huu na jitihada za kuudhibiti zinaendelea chini ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella, amethibitisha kutokea kwa moto huo huku akisema bado chanzo cha moto hakijafahamika lakini hapo baadaye atatolea maelezo.
Hahahaha nikajua ni mlango mmoja wa kuingilia na kutokea kama ilivyo kariakoo shimonihahhah ndio ni JINA LAKE hahahahaahah SOKO LA MLANGO MMOJA