Hellow
kwa wale wapenzi wa fani hizo za urembo ambazo ni make up aina zote,kuremba kucha pamoja na kuchora Henna basi sisi tunafundisha fani hizo kwa gharama nafuu kabisa sawa na bure.
utafundishwa pia na ujasiriamali wa fani hizi ili uweze kutengeneza kipato kupitia fani hizi.
ukimleta mwanafunzi basi kwa wewe uliyemleta utarudishiwa 20% ya ada yake. mjulishe rafiki,ndugu na jamaa ili nawe utengeneze kipato.
tutafute kwa namba hii
0746 426 602
KUMBUKA fani haizeeki , na kila utakapokuwa utakuwa nayo na kikubwa zaidi unaweza kujiajili katika sekta hiii inayokua kwa kasi.
mtu yeyote anakaribishwa awe dada,kaka,mama,baba
KARIBUNI
NB: Hata ukihitaji unaweza kufuatwa popote na mda wowote ukafundishwa tena kwa gharama nafuu kabisa, ni wewe tu kuchagua
View attachment 831258