Mkuu we si upo dar..... Sisi wa mwanza hatujasusa mambo safi tu..Hivi hizi shughuli za huyu mtu mbona kama wananchi wamezisusia ?
Waha fanyeni nuhudi za dhati mlihamishe MV Liemba mpeleke Mwanza huko itakarabatiwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anaweka Jiwe la Msingi miradi ya Ujenzi wa Meli Mpya , Chelezo na Ukarabati wa M.V Victoria na M.V Butiama katika Ziwa Victoria Jijini Mwanza. Sherehe zinazofanyika Katika Bandari ya Igogo Jijini Mwanza.