mama dunia
JF-Expert Member
- Dec 22, 2011
- 420
- 84
Hi Wanajamvi, hope mpo poa,
Mi ninaomba maoni yenu maana napenda sana ze ushauri from humu jamvini!
Sasa nina plan au lengo langu kuu/GOAL ya 5 to 10 yrs ni kujenga Hotel atleast ya nyota 3 katika mkoa mmojawapo yaani kati ya Mwanza au Dodoma, Nilifikiria Dar ila nikaona competition itakuwa kubwa saana itabidi nitumie nguvu sana katika kuipromot so nikaona atleast kati ya Mikoa ya Mza na Dodoma inaweza kuleta mapato yanayoridhisha ukitegemea ni mikoa inayokuwa kwa kasi, Mie binafsi nilipenda Mwanza ila rafiki yangu mmoja akaniambia Dom ni pazuri zaidi, so up now bado sijaamua wapi ninunue plot, ninaplan kununua plot July Mwaka huu then nipumzikeee hadi may be miaka kadhaa kupita ndo nianze ujenzi maana sina uwezo mkubwa kivilee ila kwasasa nataka ninunue plot kwanza ambayo inaweza kuwa isipungue kama heka 3 hivi.So naomba mawazo yenu katika kuchagua kati ya mwanza ama Dodoma ninunue plot wapi,
Nawasilisha, asanteni🙂