Mwanza vs Nakuru

 
Usiweke moja moja,weka top 10 ya hotel za Mwanza alafu linganisha na Nakuru,ukienda top 30 ndio aibu zaidi.

Katika miji mitano mikubwa Afrika Mashariki, Tanzania itaingia Dar es Salaam peke yake, wakati Kenya itaingia miji si chini ya mitatu.
unaumwa ati Nakuru ifikie Mwanza!

Mwanza Airport expansion





 
Huwezi fananisha Mwanza na Nakuru hata kidogo...... ningekuelewa ungesema

Mwanza vs Kisumu hapo sawa muwe mnatembea sio kukariri........
 
Kenya wapo mbali kuliko sisi.Hivi vijumba vya NSSF na NHC vya ajabu visivyoendana na karne hii ni vya hovyo sana.Nimeona Boda254 ame-post picha za mlimani apartment na nyinginezo hatuwezi shindana nao hadi haya mashirika yetu yabadili fikra na kujenga apartment za kueleweka.
 
Zanzibar inaendana na mombasa labda kwa tuorist sites but Zanzibar na mombasa kama miji hiwezi linganishwa. Mobasa inaeza toa hata Dar
Itoe kwanza Zanzibar halafu tutaangalia kama yaweza pambanishwa na Dar!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…