Hawez kuleta mombasa anaijua ni mji was aina gani ailete mombasa na Mwanza alaf nifungue ukurasa wa slum na majumba mabovu yaliyo town na Barbara zote mbovu za town mombasa alete hapa tumuoneshe hhahhhahahha Mwanza mji unajengwa kisasa uringanishe na mombasa mji wakizaman vichochoro ndo vimejazana majumba mabovu yanaanguka kila leo. Hawa kama nilivokwambia hua wanadhani bado ni ile tz ya 90s hio ndio akili ya wakenya woteUbishi wanini
Nikuambie kitu
Fanya hivi
Leta Nakuru Vs Dodoma basi
Dodoma si jiji
Lakini Utajua motowake
We ulifika 90s sio 2017 ndio maana mdomo wako unakufunguka sana mm Kenya nilivoizunguka hunambii kitu tena mombasa ndio kabisa na kama unatka nikuoneshe mombasa ni mji worse namna gni fungua link nipambane mm pekeangu na nyie wakenya woteHawataki kuamini.. Wanashinda wakirupukuka tu hapa.... Ati Mbeya fifth Largest city... halafu wanaiita city when it doesnt fit the bill.... .... Unasikia sijui Mbeya City, Sijui Mwanza city, sijui Tanga city.... Unaexpect kupata bonge la Jiji... Kufika unakuta Ujinga