Viwanda Kenya nzima viko Nairobi ndio maana population yote iko kibera,mathare na matopeni by 2030 watafika 6million hahaha eti mko kwenye middle economy we ushawah kuskia wapi nchi ya middle economy inatangaza baa LA njaa au ina biggest poor slum in the world...hamuupendi umaskini wakati masikini wakutupa
baada ya kujibu swali unaruka uku na kule.....Ulitaka nisijue au nisiseme ukweli niache kama naijua mombasa basis ninyamaze kisa we mkenya more superior au sio hahahhaa ukweli nishasema na kama kuwavua nguo sokoni nishawavua leta Sera zingine sasa bado kisumu sasa maana mumekuja patamu sana
Nikujibu wakat nchi ni yenu we akili yako iko sawa sawabaada ya kujibu swali unaruka uku na kule.....
Hahaha panauma hapo hats ukikasirika stahmili maana ndo hakki ilivo hua inachoma inachoma ahahhahahBado uko na umasikini wa ubongo
we ndio uko na mtindio wa ubongo...ulete picha yenye hujui niyawapi then una insist ni likoni when hujui ata part moja ya likoni..usipotoshe umma na utoto wakoNikujibu wakat nchi ni yenu we akili yako iko sawa sawa
Yes hapa wenzetu wanatuonea wivu sana. Tanzania is the soul of Africa.Watanzania wenzangu naomba tufungue hii link tuifahamu tanzania yetu kwa undani zaidi
10 record breaking facts about Tanzania - Africa Geographic
Yes hapa wenzetu wanatuonea wivu sana. Tanzania is the soul of Africa.
najua unajifariji.Tihahahhaaaaa..... Nimecheka mpaka Christmas teeth imeonekana. Ati soul???? You hardly even exist in the periphery of the world map. Hebu jaribu kuuliza hata Myarwanda Tanzania iko wapi atadhani ni aina ya ndege.
Haiya haiya so u mean no slum in Nakuru?Kenyan towns have majored on real estate sector compared to Tanzanian towns which have majored on glass buildings around the CBD......Nakuru was voted the fastest growing town in Africa for a record five years between 2007 and 2012.....na watanzania should stop this stupidity of building hotels while their people live like paupers. The same situation is evident in Daresalaam. ....shiny glassy CBD but 80% of the city is informal settlements......Only Arusha looks quite different because of the Kenyan influence in that town. Wacheni kujengea wazungu mahoteli mingi na mfocus on things like roads ,hospitals, vibrant real estate etc.....take it or leave it.Halafu they declare their town better. ....smh!!!!
Tanzania is a Least Developed Country. ...period! !!.Facts are stubbornhio kwenu itabaki ndoto........................
https://www.google.com/url?sa=t&rct...207rb9AZ2dau17qXBtTybw&bvm=bv.149397726,d.d24
This is a " middle income " neighbourhood in Dar is slum the 7th poorest city in the world.Likoni slum hahahhahahaha bado slum ya mjini kabisa mombasa
View attachment 479945
Sasa mombasa si kuna yale mambo yenu tu basi, au kuna jingine mkuunimekwambia mwanza na mombasa...mbona waogopa?
Duuuh ushavuka border hadi mombasa we ni thooo alafu leo uko zamu kulinda nn? Mpk sa hii hujalalaSasa mombasa si kuna yale mambo yenu tu basi, au kuna jingine mkuu
Sasa mama mchungaji nkikwambia twende hutaki, ilibidi nende peke yangu.Duuuh ushavuka border hadi mombasa we ni thooo alafu leo uko zamu kulinda nn? Mpk sa hii hujalala