Nairobi, mombasani, Nakuru &Kisumu, EldoretOk I think baada ya nairobi inakuja mombasa afu inafuatia Nakuru kwa ubora. Si niko sawa mazee
Zanzibar inaendana na mombasa labda kwa tuorist sites but Zanzibar na mombasa kama miji hiwezi linganishwa. Mobasa inaeza toa hata DarNaogopa wakati page ipo Zanzibar vs Mombasa acha ubishi post kule hivyo vilivyopo huko Mombasa! Zanzibar inaendana na Mombasa kwa vile vyote visiwa na touristic cities mbona huelewi mzee? Na zote zina ports!