Mwanza: Wapenzi wawili wamekutwa wamefariki dunia. Chanzo cha tukio hilo kikidaiwa kuwa wivu wa mapenzi

Mwanza: Wapenzi wawili wamekutwa wamefariki dunia. Chanzo cha tukio hilo kikidaiwa kuwa wivu wa mapenzi

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Watu wawili jinsia ya kike na kiume wanaodaiwa kuwa ni wapenzi wamekutwa wamefariki dunia katika mtaa wa Mkudi uliopo katika Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza huku chanzo cha tukio hilo kikidaiwa kuwa wivu wa mapenzi.

Soma Pia: Tabora: Mwanamke auawa, chanzo wivu wa mapenzi

Watu hao waliokutwa wamefariki dunia ni Benadeta Silvester (21) mkazi wa mtaa wa Mkudi na Adamu Kailanga (30) mfanyabiashara na mkazi wa mtaa huo, walikuwa wakiishi katika nyumba namba 50 inayomilikiwa Juma Iddi Masolwa.

 
Back
Top Bottom