Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Bila mapenzi maisha hayana maana mkuu, acha watu wafaidi.Age difference miaka 9. Vijana achaneni na mapenzi yatawamaliza
Inatakiwa miaka 10.... Inawezekana hujui. Mwanamke lazima awe mdogo kuanzia miaka 10 kuendelea.Age difference miaka 9. Vijana achaneni na mapenzi yatawamaliza
Naona jana umefiwa na Ahmed Rajab,leo tena classmate mwingine...pole sanaR.i.P Classmates....π₯
Hakika wamekufa kishujaa sana...π