Watoto wawili wanafunzi wa Shule ya Blessing Model School iliyoko Nyasaka Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza wametekwa na watu wasiojulikana huku wengine wane wakinusurika.
Akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amesema tukio hilo limetokea siku ya Jumatano tarehe 5 Februari, 2025 muda wa saa 12 asubuhi eneo la Kapriponti jijini Mwanza baada ya mtu asiyejulikana kuomba lifti kwenye gari la shule hiyo lililokuwa na wanafunzi sita.
Kamanda Mutafungwa amesema mtu huyo baada ya kupanda kwenye gari na kutembea umbali kidogo alimkaba dereva akitokea upande wa nyuma kisha kuwabeba watoto wawili na kuondoka nao kupitia usafiri wa pikipiki mbili zilizofika eneo hilo muda mfupi baada ya kutokea tukio hilo.
Mutafungwa amesema chanzo cha tukio hilo ni tamaa ya fedha kwani watekaji wameanza kutuma ujumbe wa simu na vitisho kwenye uongozi wa shule wakiwataka watoe fedha ili kuwapata watoto hao.
Wàtoto wawili wanafunzi wa Shule ya Blessing Model School iliyoko Nyasaka Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza wametekwa na watu wasiojulikana huku wengine wane wakinusurika.
Akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amesema tukio hilo limetokea siku ya Jumatano tarehe 5 Februari, 2025 muda wa saa 12 asubuhi eneo la Kapriponti jijini Mwanza baada ya mtu asiyejulikana kuomba lifti kwenye gari la shule hiyo lililokuwa na wanafunzi sita.
Kamanda Mutafungwa amesema mtu huyo baada ya kupanda kwenye gari na kutembea umbali kidogo alimkaba dereva akitokea upande wa nyuma kisha kuwabeba watoto wawili na kuondoka nao kupitia usafiri wa pikipiki mbili zilizofika eneo hilo muda mfupi baada ya kutokea tukio hilo.
Mutafungwa amesema chanzo cha tukio hilo ni tamaa ya fedha kwani watekaji wameanza kutuma ujumbe wa simu na vitisho kwenye uongozi wa shule wakiwataka watoe fedha ili kuwapata watoto hao.
Kama dola inateka na kutesa hadi kuua watu kwa nini majambazi wasifuate nyayo? Ila ingependeza kama wangekuwa watoto wa viongozi wa CCM ili waonje uchungu kama uchungu waliopata wazazi wa Soka na wenzake.
Watoto wawili wanafunzi wa Shule ya Blessing Model School iliyoko Nyasaka Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza wametekwa na watu wasiojulikana huku wengine wane wakinusurika.
Akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amesema tukio hilo limetokea siku ya Jumatano tarehe 5 Februari, 2025 muda wa saa 12 asubuhi eneo la Kapriponti jijini Mwanza baada ya mtu asiyejulikana kuomba lifti kwenye gari la shule hiyo lililokuwa na wanafunzi sita.
Kamanda Mutafungwa amesema mtu huyo baada ya kupanda kwenye gari na kutembea umbali kidogo alimkaba dereva akitokea upande wa nyuma kisha kuwabeba watoto wawili na kuondoka nao kupitia usafiri wa pikipiki mbili zilizofika eneo hilo muda mfupi baada ya kutokea tukio hilo.
Mutafungwa amesema chanzo cha tukio hilo ni tamaa ya fedha kwani watekaji wameanza kutuma ujumbe wa simu na vitisho kwenye uongozi wa shule wakiwataka watoe fedha ili kuwapata watoto hao.
Watoto wawili wanafunzi wa Shule ya Blessing Model School iliyoko Nyasaka Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza wametekwa na watu wasiojulikana huku wengine wane wakinusurika.
Akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amesema tukio hilo limetokea siku ya Jumatano tarehe 5 Februari, 2025 muda wa saa 12 asubuhi eneo la Kapriponti jijini Mwanza baada ya mtu asiyejulikana kuomba lifti kwenye gari la shule hiyo lililokuwa na wanafunzi sita.
Kamanda Mutafungwa amesema mtu huyo baada ya kupanda kwenye gari na kutembea umbali kidogo alimkaba dereva akitokea upande wa nyuma kisha kuwabeba watoto wawili na kuondoka nao kupitia usafiri wa pikipiki mbili zilizofika eneo hilo muda mfupi baada ya kutokea tukio hilo.
Mutafungwa amesema chanzo cha tukio hilo ni tamaa ya fedha kwani watekaji wameanza kutuma ujumbe wa simu na vitisho kwenye uongozi wa shule wakiwataka watoe fedha ili kuwapata watoto hao.
Hao watekaji watapatikana tuu tena haraka kama , kibaya zaidi wanatumia simu. Jamani japo maisha ni mgumu but tuchape kazi tuache uvivu sasa, hao tamaa ya fedha imewaingia ikao wawateke watoto wasio na hatia. My worry ni kwamba hii tabia inabidi ikomeshwe haraka sana maana haichelewi kutokea wajinga wengine wakaiga huo upumbavu
Tusisahau huu ni mwaka wa uchaguzi, watu wako radhi hata kulindwa na majini. Huyu mtu hata akipewa maelekezo ya kuua watoto wadogo sidhani kama atafikiria mara mbili. Tujiangalie
Watoto wawili wanafunzi wa Shule ya Blessing Model School iliyoko Nyasaka Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza wametekwa na watu wasiojulikana huku wengine wane wakinusurika.
Akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amesema tukio hilo limetokea siku ya Jumatano tarehe 5 Februari, 2025 muda wa saa 12 asubuhi eneo la Kapriponti jijini Mwanza baada ya mtu asiyejulikana kuomba lifti kwenye gari la shule hiyo lililokuwa na wanafunzi sita.
Kamanda Mutafungwa amesema mtu huyo baada ya kupanda kwenye gari na kutembea umbali kidogo alimkaba dereva akitokea upande wa nyuma kisha kuwabeba watoto wawili na kuondoka nao kupitia usafiri wa pikipiki mbili zilizofika eneo hilo muda mfupi baada ya kutokea tukio hilo.
Mutafungwa amesema chanzo cha tukio hilo ni tamaa ya fedha kwani watekaji wameanza kutuma ujumbe wa simu na vitisho kwenye uongozi wa shule wakiwataka watoe fedha ili kuwapata watoto hao.
Wakipatikana hatua kali zaidi wachukuliwe,sababu 1. kuteka watoto
2. kuwapa hofu kuuwazazi
3. kuchafua jina la shule na kuharibu reputation ya shule na kuharibu biashara na ajira za watu
sababu wazazi wataogopa kupeleka watoto hapo sababu watahofia usalama wa watoto wao na wengine watawahamisha kwenye hio shule.
shule ikikosa watoto, automatically walimu watapunguzwa[emoji17]
hiyo ni mbaya sana, japo kuna vitu havimake sense.
1.Why dereve ampe lift mtu kwenye gari ya watoto? tena muda wa kazi? at least angekua peke yake bila watoto ni sawa.
2. wakati dere anakabwa, matron alikua wapi hata asisaidie hata kwa kupiga kelele? hadi mtu anachukua watoto wawili anawaweka kwenye pikipiki just like that? wao walikua wamezimia au walikua wanafanya jitihada gani kuokoa watoto?
hisia za wao kuhusika zinakuja hapo mwisho. wanajua whats going on, PERIOD!
Too much of a coincidence,
Yaani unampa mtu usiemjua lift, ghafla anageuka kuwa mtekaji, doesn't make sense.
Dereva aminywe makende vizuri atasema watoto walipo