Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
KabisaTutaelewana tu
Amani ni nini?Chadema wanaijaribu serikali, ni vyema wakatizamwa kwa jicho la tatu wale wote ambao nia yao ni kutuvurugia amani yetu.
Amani yetu ni muhimu kuliko chama chochote kile, vyombo vyetu visisite kuchukua hatua sahihi kwa yeyote yule anaye jaribu au hata kufikiria kuvuruga amani yetu kwa njia yoyote ile.
Amani unayo wewe na familia yako! Usiwe zwazwa kiasi hicho,,,huwezi kuwa na amani kwenye nchi yenye viongozi hovyo km hii! We utakuwa kwenye payroll fala sana wwChadema wanaijaribu serikali, ni vyema wakatizamwa kwa jicho la tatu wale wote ambao nia yao ni kutuvurugia amani yetu.
Amani yetu ni muhimu kuliko chama chochote kile, vyombo vyetu visisite kuchukua hatua sahihi kwa yeyote yule anaye jaribu au hata kufikiria kuvuruga amani yetu kwa njia yoyote ile.