Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Kuna mada nyingine tayari inayozungumzia the same issue.
Kwa masharti yafuatayo:
Mtuletee majina ya watu watakao kuwepo siku ya mdahalo na maswali watakayo uliza usije leta watu wenye njaa kutoka sehemu kama Kariakoo....
Huduma ya kwanza iwepo.
Hakuna kuzungumzia ufisadi
na iwekuzungumzia ilani za chama
.... Mkiyatekeleza hayo JK atakuja kwenye mdahalo...
Mlio mwanza si mumvunje mbavu huyo lyimo!!! tumechoka na hawa wahuni wachache wanaotuibia rasilimali zetu jamani...aaalaa...
Chadema mkoa waliomba mkutano kufanyikia Uwanja wa Furahisha ama Magomeni Mwanza, na wakachelewa kupewa majibu, ikabidi watangaze kuwa mkutano wa Slaa ni leo, sasa Msimamizi wa Uchaguzi akatoa taarifa leo mkutano usifanyike Furahisha maana kuna majukwaa ya mahubiri ya dini lakini watu walishajaa toka asubuhi na FFU wakaenda kuwatimua kwa mabomu. Sasa mkutano unahamia Magomeni.....
Tupeni mambo yanayojiri huko... nasikia upepo unavuma vibaya sana kwa CCM na kundi lao la mafisadi kanda ya ziwa... Ni kimbunga ambacho hawakukitarajia, walijua wasukuma ni akina "nduhu taabu" lakini baada ya huyu Mba'rbaige kuweka karata yake upepo umebadirika sana sana wataanza kutumia nguvu
yaani watu wamekusanyika toka asubuhi?duuh na hawa hawajafuatwa na malori kama chana fulani hivi..hahaaaaa presha inapanda presha inashuk..wapi Makamba.Vipi unamleta mgombea wako kwenye mdahalo au?