Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Wazee wetu huko Mwanza wameitikia kwa nguvu kubwa ombi la serikali kuhakiki taarifa kwaajili ya malipo ya Mafao yao, Ushauri wangu ni wasiwasimamishe wazee wetu hivi kwa foleni waanzishe utaratibu ambao ni rafiki kwa afya na nguvu za wazee wetu.