Ndengaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 7,831 Reaction score 14,259 Jan 11, 2021 #1 Wazee wetu huko Mwanza wameitikia kwa nguvu kubwa ombi la serikali kuhakiki taarifa kwaajili ya malipo ya Mafao yao, Ushauri wangu ni wasiwasimamishe wazee wetu hivi kwa foleni waanzishe utaratibu ambao ni rafiki kwa afya na nguvu za wazee wetu.
Wazee wetu huko Mwanza wameitikia kwa nguvu kubwa ombi la serikali kuhakiki taarifa kwaajili ya malipo ya Mafao yao, Ushauri wangu ni wasiwasimamishe wazee wetu hivi kwa foleni waanzishe utaratibu ambao ni rafiki kwa afya na nguvu za wazee wetu.