RockCarnegie
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 962
- 1,930
We nae tupishe,maji si yapo hapo tu mwaloni ziwani afu we unatuambia hatuna maji nani kakudanganya? We jamaa vipi?Tangu Serikali na Rais Magufuli atangeze kuwa Tanzania imeingia uchumi wa kati, jiji la Mwanza limekumbwa na uhaba mkubwa wa huduma ya maji!
WanaCCM wakiulizwa kulikoni uchumi huu wa kati na adha ya maji, wao wanajibu hizo ni juhudi za Rais Magufuli!
Leo pia jiji wamepita wakiwatangazia machinga wavae vitambulisho shingoni, vinginvyo wahame mjini!
Viva Jiwe viva CCM viva Awamu ya viwanda!
Utakuwa unaishi jirani na Mkuu wa Mkoa Mongela maana imefungwa pampu kubwa inayonyonya maji yote yanayokuja eneo la kiseke PPF kwenda kwake! MWAUWASA wajiandae siku Rais Magufuli akitia mguu Mwanza atapokelewa kwa maandamano makubwa ya kupinga hujuma inayofanywa na mamlaka hii ya maji! Mkurugenzi MWAUWASA siku zako zinahesabika!Maji yapo bhana!
Naona wanaCCM ndiyo mnapataMaji yapo bhana!
Nilipo hayakatiki hovyo japo majuzi yalikata siku mbili yakarudi hadi leo.Utakuwa unaishi jirani na Mkuu wa Mkoa Mongela maana imefungwa pampu kubwa inayonyonya maji yote yanayokuja eneo la kiseke PPF kwenda kwake! MWAUWASA wajiandae siku Rais Magufuli akitia mguu Mwanza atapokelewa kwa maandamano makubwa ya kupinga hujuma inayofanywa na mamlaka hii ya maji! Mkurugenzi MWAUWASA siku zako zinahesabika!
Uwongo!
Nani amekuuliza?Naona wanaCCM ndiyo mnapata
Jiwe ni mtu laghai sana sijawahi ona katika dunia hii! Na wanaomwamini siju akili zao zikoje!Ziwa lipo mita sifuri lakini maji ni tatizo.kesho wanawaaidi singida kupeleka maji kutoka mwanza si utani huu.