Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,059
Tangu Serikali na Rais Magufuli atangeze kuwa Tanzania imeingia uchumi wa kati, jiji la Mwanza limekumbwa na uhaba mkubwa wa huduma ya maji!
WanaCCM wakiulizwa kulikoni uchumi huu wa kati na adha ya maji, wao wanajibu hizo ni juhudi za Rais Magufuli!
Leo pia jiji wamepita wakiwatangazia machinga wavae vitambulisho shingoni, vinginvyo wahame mjini!
Viva Jiwe! Viva CCM! Viva Awamu ya viwanda!
*TAARIFA KWA UMMA*Naunga mkono hoja, Mwanza maji ni ya shida sana, mfano mtaa wa mecco maji yamekatika wiki nzima, Buswelu maji yanamaliza zaidi ya wiki hayatoki, Buhongwa hali iko hivyohivyo.
Mwanza watapata maji, walinipigia kura, sio kama Mbeya!Tangu Serikali na Rais Magufuli atangeze kuwa Tanzania imeingia uchumi wa kati, jiji la Mwanza limekumbwa na uhaba mkubwa wa huduma ya maji!
WanaCCM wakiulizwa kulikoni uchumi huu wa kati na adha ya maji, wao wanajibu hizo ni juhudi za Rais Magufuli! Leo pia jiji wamepita wakiwatangazia machinga wavae vitambulisho shingoni, vinginvyo wahame mjini!
Viva Jiwe! Viva CCM! Viva Awamu ya viwanda!
Hilo la maji ni kweli 100%. Watu wanahangaika na madumu jiji la Mwanza mpaka unaona huruma.Tangu Serikali na Rais Magufuli atangeze kuwa Tanzania imeingia uchumi wa kati, jiji la Mwanza limekumbwa na uhaba mkubwa wa huduma ya maji!
WanaCCM wakiulizwa kulikoni uchumi huu wa kati na adha ya maji, wao wanajibu hizo ni juhudi za Rais Magufuli!
Leo pia jiji wamepita wakiwatangazia machinga wavae vitambulisho shingoni, vinginvyo wahame mjini!
Viva Jiwe! Viva CCM! Viva Awamu ya viwanda!
Mimi nipo Buswelu, njoo kesho uone hiyo adha ya maji.
Pumbavu, hatuzungumzii ziwa, silly buggerWewe ni liongo hizi mvua tuu ziwa lilijaa maji mpaka sehemu fukwe zikamezwa wee ndo ulete porojo zako kwa upo mwz ipi
CCM wanatudharau sanaZiwa lipo mita sifuri lakini maji ni tatizo.kesho wanawaaidi singida kupeleka maji kutoka mwanza si utani huu.
Na bado watachagua CCM, wao vyama ni kama kupenda Simba na Yanga, hata wakiboronga hawawaachiHapo Mwanza si kuna ziwa victoria inamana serikali wameshindwa kusambaza hayo maji ya ziwa kwa matumizi ya majumbani
Wapiga kura wake Mwanza wanakufa kiu
Si ndio kina drone camera hao!?..natamani wapate Mabusha tu wajieleweJiwe ni mtu laghai sana sijawahi ona katika dunia hii! Na wanaomwamini siju akili zao zikoje!
*TAARIFA KWA UMMA*
*UPUNGUFU WA MAJI KWENYE MAENEO YANAYOPATA MAJI KUPITIA KITUO CHA KONA YA BWIRU*
Tumepokea taarifa kutoka TANESCO, kuwa *Tarehe 25 Juni, 2020 (Alhamisi) kuanzia Saa 2:00 Asubuhi hadi Saa 10:00 Jioni* watakuwa na maboresho ya miundombinu na hivyo watakata umeme kwenye baadhi ya maeneo ikiwemo eneo la Kituo cha Kusukuma Maji (Booster Station) cha Kona ya Bwiru.
Kufuatia taarifa hiyo ya TANESCO, tunasikitika kuwataarifu wateja wetu wa maeneo ya *Kitangiri, Bwiru, Ibungilo, Kawekamo, Lumala, Kiseke, Nyamanoro, Seleman Nassor, Pasiansi, Mondo, Ilemela na Uwanja wa Ndege* kuwa kutakuwa na upungufu wa maji hadi hapo huduma ya nishati ya umeme itakaporejea kwenye hali yake ya kawaida.
Tunawashauri kutunza maji yatakayotosha katika kipindi hicho ambacho kutakuwa hakuna umeme.
Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza.
Imetolewa *Tarehe 24 Juni, 2020* na: -
………………………………….
*OFISI YA UHUSIANO*
*MWAUWASA*
_Upatapo taarifa hii, tafadhali mfahamishe na mwingine.
Hizi ndio taarifa zao kila siku
Hayo nilipewa chanjo toka nipo sekondari!Si ndio kina drone camera hao!?..natamani wapate Mabusha tu wajielewe
Sijui kuhusu Ilemela ila Nyamagana nina taarifa maji yapo.Sijakataa kwamba hayakukatika ila yasharudiii siku nyiingi!Drone Camera njoo usome bandiko hili
Anaudhi wapiga kura,titamnyooshaUtakuwa unaishi jirani na Mkuu wa Mkoa Mongela maana imefungwa pampu kubwa inayonyonya maji yote yanayokuja eneo la kiseke PPF kwenda kwake! MWAUWASA wajiandae siku Rais Magufuli akitia mguu Mwanza atapokelewa kwa maandamano makubwa ya kupinga hujuma inayofanywa na mamlaka hii ya maji! Mkurugenzi MWAUWASA siku zako zinahesabika!