Mwanza

Mwanza

mji bora kuanzisha biashara tanzania


  • Total voters
    13

koboko

Member
Joined
May 21, 2011
Posts
8
Reaction score
5
Mkoa gani una mazingira mazuri zaidi kuanzisha biashara hapa Tanzania kwa kuangalia uwezo wa watu kununua na required start up capital... bila kusahau tabia ya manispaa na TRA za mkoa huo.
 
Mkuu hii Poll yako kama vile haiko fair, manake kichwa cha Habari moja kwa moja kinaonekana kuupendelea mkoa wa Mwanza...
 
ndo maana na mi nikaamua kuvote mwanza ili atudanganye..
 
Nilipitiwa hasa kutokana na maoni ya kijiwe changu kwamba Mwanza is the future business centre of Tanzania. Kama ningekua biased basi ningeandika Mbeya mkoa ninaoishi na kufanya biashara
 
Unaposema biashara ujue kunabiashara nyingi sasa sijui umekusudia biashara gani? nakushauri kama ni mfanyabiashara sikuzote usichukuwe ushauri toka kwa mtu fanya ushunguzi wa kina na biashara unayotaka kufanya ujue unalenga watugani unaangalia eneo na mahitaji yahapo unapotaka kuweka biashara yako itafikia malengo? wengi wetu huwa wanafanya biashara ya kuiga huona jamaa kafungua kijiduka mtaani na yeye anchukua adia hiyo matokeo yake unafeli au unakuwa unaifania huduma jamii bilakujua kuwa hupati faida. biashara kwana lazima uisome ujue walengwa wako. lakini kama unataka TRA wasome namba ingia shambani mkuu huko utakula asilimia 70 safii hujui TRA wala halmashauri ya wilaya
 
Inategemea na biashara gani unataka kufanya! Lakini mkoa wenye mzungunko mkubwa wa pesa ni Dar es Salaam, wewe mwenyewe ndio utaamua uende mkoa gani ambao wewe utaona unakufaa
 
Back
Top Bottom