Unaposema biashara ujue kunabiashara nyingi sasa sijui umekusudia biashara gani? nakushauri kama ni mfanyabiashara sikuzote usichukuwe ushauri toka kwa mtu fanya ushunguzi wa kina na biashara unayotaka kufanya ujue unalenga watugani unaangalia eneo na mahitaji yahapo unapotaka kuweka biashara yako itafikia malengo? wengi wetu huwa wanafanya biashara ya kuiga huona jamaa kafungua kijiduka mtaani na yeye anchukua adia hiyo matokeo yake unafeli au unakuwa unaifania huduma jamii bilakujua kuwa hupati faida. biashara kwana lazima uisome ujue walengwa wako. lakini kama unataka TRA wasome namba ingia shambani mkuu huko utakula asilimia 70 safii hujui TRA wala halmashauri ya wilaya