Wameandika;... wamesema wanamtafutia nini? Vimaandishi vidogo sana hivyo.
Hawana uwezo wa kumkamata huyo wamemshindwa Yule mwaandishi wa habari aliyekimbilia urusi atakuwa huyo?Interesting.
The FBI offers a 250K reward for the capture of Yevgeniy Viktorovich Prigozhin, founder of the Wagner Group.
View attachment 2428718YEVGENIY VIKTOROVICH PRIGOZHIN | Federal Bureau of Investigation
Conspiracy to Defraud the United Stateswww.fbi.gov
Kwahesabu Gani ulizo Piga!!Hi taarifa nna shaka nayo yaani kweli dau la kumkata na Kum wasilisha huyo mwamba Marekani I we shilling za kitanzania 585000 kweli?
Hiyo fedha hata mi njaa Kali sijaipenda.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Oh nilikosea mahali mkuu. Naskitika.Kwahesabu Gani ulizo Piga!!
Rudia Tena
Pesa nje nje hiyo ila kuipata jasho lazima likutoke.Wanangu pesa hiyo hapo... Kazi kwetu kumsakua huyo mpuuzi anayesumbua wakubwa.
Hyo itakuwa taarifa ya uongo yaani dau la kumtafuta huyo kazidiwa hata na Joseph kony muasi wa Uganda
Sura kaziSura tuu inaonesha ana roho mbaya.
Hiyo ni zaid ya milion 575Interesting.
The FBI offers a 250K reward for the capture of Yevgeniy Viktorovich Prigozhin, founder of the Wagner Group.
View attachment 2428718YEVGENIY VIKTOROVICH PRIGOZHIN | Federal Bureau of Investigation
Conspiracy to Defraud the United Stateswww.fbi.gov
250k=250,000×2,300=575,000,000Hi taarifa nna shaka nayo yaani kweli dau la kumkata na Kum wasilisha huyo mwamba Marekani I we shilling za kitanzania 585000 kweli?
Hiyo fedha hata mi njaa Kali sijaipenda.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app