Wapuuzi sana hawa - wao mbona wana kikundi kamahicho hicho kinacho julikana kama "BLACKWATER" kiliwahi kuuwa raia wengi wasio na hatia huko Iraq - kinaendelea na ujambazi wao mpaka leo kikisimamiwa na mwanzilishi wake Erick Prince, FBI na CIA waliwahi kumfanya nini licha ya kufanya mambo ya ukatiri na ujambazi, badala yake Serikali inaendelea kumpatia contract za ulinzi na ku-recruit mercenaries - hilo hawalisemi, wanatujia na horror stories kuhusu Wagner group - eti FBI wanamtafuta Boss wa Wagner group!! FBI nani?kwanini hawajisafishi wao kwanza kabla hawajaparamia mataifa mengine- shenzi kabisa.