Akhy D JF-Expert Member Joined Jun 10, 2013 Posts 361 Reaction score 420 Jul 2, 2013 #1 Ziro Ndio nambari inayoanza kabla ya moja, lakini ukiiweka kabla ya moja husomeka moja (01) na ukiiweka baada ya moja husomeka kumi (10).
Ziro Ndio nambari inayoanza kabla ya moja, lakini ukiiweka kabla ya moja husomeka moja (01) na ukiiweka baada ya moja husomeka kumi (10).
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Jul 2, 2013 #2 Karibu sana JF...
A Father JF-Expert Member Joined Nov 11, 2012 Posts 1,219 Reaction score 380 Jul 2, 2013 #3 Karibu sana JF...
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jul 2, 2013 #4 Karibu sana JF mjukuu...
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Jul 2, 2013 #5 Karibu mgeni, unamaanisha nini?
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 8,659 Reaction score 2,227 Jul 2, 2013 #6 Karibu JF.
Akhy D JF-Expert Member Joined Jun 10, 2013 Posts 361 Reaction score 420 Jul 3, 2013 Thread starter #7 Ahsanteni sana nimekaribia WAPENDWAAAAA
Akhy D JF-Expert Member Joined Jun 10, 2013 Posts 361 Reaction score 420 Jul 3, 2013 Thread starter #8 Evelyn Salt said: Karibu mgeni, unamaanisha nini? Click to expand... Namaanisha kua: wote tumezaliwa na Sifuri (yaani hatuna kitu) lakini unapopiga hatua moja mbele katika maendeleo thamani yako inaongezeka Mara kumi. 0 - ulipozaliwa 01 - wakati unafanya kazi 10 - baada ya kufanikiwa
Evelyn Salt said: Karibu mgeni, unamaanisha nini? Click to expand... Namaanisha kua: wote tumezaliwa na Sifuri (yaani hatuna kitu) lakini unapopiga hatua moja mbele katika maendeleo thamani yako inaongezeka Mara kumi. 0 - ulipozaliwa 01 - wakati unafanya kazi 10 - baada ya kufanikiwa
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Jul 3, 2013 #9 Akhy D said: Namaanisha kua: wote tumezaliwa na Sifuri (yaani hatuna kitu) lakini unapopiga hatua moja mbele katika maendeleo thamani yako inaongezeka Mara kumi. 0 - ulipozaliwa 01 - wakati unafanya kazi 10 - baada ya kufanikiwa Click to expand... ahsante
Akhy D said: Namaanisha kua: wote tumezaliwa na Sifuri (yaani hatuna kitu) lakini unapopiga hatua moja mbele katika maendeleo thamani yako inaongezeka Mara kumi. 0 - ulipozaliwa 01 - wakati unafanya kazi 10 - baada ya kufanikiwa Click to expand... ahsante
Mbuna JF-Expert Member Joined Jul 3, 2013 Posts 269 Reaction score 71 Jul 3, 2013 #10 Karibu sana, hata mimi leo ndio nimejiunga humu ndani
bily JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 8,029 Reaction score 5,796 Jul 3, 2013 #11 karibu mkuu via jf rules