Mwanzo mwisho jinsi watekaji wenye silaha walivyomteka mfanyabiashara wa Tarime Joseph Mwita Mtiba. Familia yake yatoa tamko!

Mbona huajauliza kwanini Polis walipowashiwa taa wakatoa beria bila kulikagua lile gari ambalo lilionekana kama la serikali?
Ni kweli kwamba kwenye mkasa huu Mtekaji anaweza kuwa ni Serikali, lakini Ukweli mwingine ni kwamba Mtekwaji anazijua fika sababu za kutekwa kwake.

Aidha, kutokana na kuwepo kwa Ushahidi wa kimazingira wa tukio lenyewe jinsi lilivyo, Jeshi la Polisi Kamwe haliwezi kukwepa kwamba halihusiki na mpango wa tukio hili. Linajua fika kabisa Nini hasa kilijiri, kinachojiri na kitakachoendelea kujiri kuhusiana na suala hili. Kwa uelewa wangu nilionao, I am in unshakable view that Police Force of Tanzania is fully aware about this tragic event of abduction.
 
Na sasa wana kinga ya kutoshtakiwa, raia hatuna chetu tena.

Nchi hii ni mali ya viongozi na TISS
 
Mwamba alikuwa Zakaria tu ,kama wewe ni mfanyabiashara mkubwa tembea na "mkwaju" halafu fanya mafunzo ya kushoot watu hata 6 at time.
 
Samia ametuharibia sana Nchi.Amalize muda wake aende zake huko ametuchosa sana. Hafai kabisa kuwa kiongozi sababu anateka na kuua watu
 
Samia ametuharibia sana Nchi.Amalize muda wake aende zake huko ametuchosa sana. Hafai kabisa kuwa kiongozi sababu anateka na kuua watu
Unamuonea tu mtu huyu.

Utekaji ulikuwepo tangu zamani kuanzia utawala wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli, na Sasa Samia, na bado utaendelea kuwepo endapo kama utawala huu uliopo utaendelea kuwepo.

Kamwe, Samia hazunguki huko mitaani akiwa kwenye magari yenye vioo vya giza (tinted) na kuwavizia watu ili awateke. Kamwe, Samia hashindi kwenye maeneo ya starehe Kama vile bar, clubs, restaurant, n.k akiwa na sumu ya kuulia Watu kwenye mifuko yake ili kuwawinda Watu wanaojaribu kuikosoa Serikali na kisha kuwawekea sumu ili kuwadhuru.
 
Mbona habar inajieleza kwamba mwamba alimpigia ndugu yake akasema "naona wabaya wetu nao wapo hapa(msibani)"
 
Mwandishi angemalizia kazi yake kwa kumuuliza kaka wa mtekwaji kuwa hao wabaya wao ni akina nani. "Wabaya wetu" inamaanisha hata huyo kaka mtu anawindwa. Ni wabaya kisiasa,kibiashara au visasi vingine katika harakati za kimaisha?
Yeye ndiye muhasisi, watekaji hawajafa bado wapo hivyo yawezekana na watu wengine wameona watumie njia hiyo
 
nimelia sana,inaonesha hiyo familia hawajui harakati za huyo mtekwaji.
 
Kabisa kabisa,ndugu mtu anaujua ukweli.
Na alivyoarifiwa kuwa "wabaya wetu nao wapo hapa"
Aliamua kujitenga zaidi na nduguye.
Na kama yeye ni raia mwema, kwanini asinge ripoti kufuatiliwa kwake,police?
 
"Mida ya saa nane mchana aliniuliza umeshatoka shambani ? akaniambia niko hapa msibani kwa mzee Awoo. Akaniuliza utakuja Tarime? nikamwambia hapana nimechoka. Akaniambia hata hawa wabaya wetu nao wako hapa".

Huyu ndugu kuna kitu anajua kuhusu hili tukio. Hao wabaya wao ni kina nani?
 
Imeisha hiyooo...
 
Kama walikuwa na ugomvi binafsi, gari ya serikali inayotajwa ilihusikaje kuteka ?
 
Kama walikuwa na ugomvi binafsi, gari ya serikali inayotajwa ilihusikaje kuteka ?
Huenda huyo mgomvu wake ni mfanyakazi wa Serikali ambaye anatumia gari la Serikali lililohusika katika shughuli za utekaji.

Je, huko mitaani kwenu haujawahi kuyaona magari ya Serikali yakitumika katika shughuli haramu kama vile kwenda kuwachukua mahawala au vimada wa hao wafanyakazi wa huko Serikalini? Hujawahi kuona Mikasa ya namna hii??
 
Umehoji vizuri usikute watu wamedhurumiana biashara za meno ya tembo.kwel anasema wabaya gani hataki kuwataja na ndugu yake katekwa?? Mm nimeanza kumuamini muliro hizi ni vita za waharifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…