Mwanzo wa meditation

haya mambo hakuna lolote linalotokea kupoteza mda tu ata me nimefanya sana lakini sihisi chochote
Kwa sababu unafanya ukiwa na utayari Wa kuhisi kitu mkuu, just relax and breath you will come up with something stop inner and outer chatter..
 
Tupo pamoja mkuu karibu sana,
 
hii hatua nimeweza kuifikia nini kinafuata??baada ya hii
Vizuri hatua inayofuata kwenye hiyo mitetemo au mwanga utaanza kuona vitu kama colours zinacheza mbele ya macho yako hususan ukiwa unatizama third eye picha zitaanza kujijenga kama mawingi na kutoa picha halisi ambazo zitakua ni kumbukumbu za maisha yako ya nyuma subiri na usizichungue zitatokea mfumo Wa kushake na sauti zake utaziskia kwenye maskio yako, don't loose control,

Rakims
 
Na mimi hapa nilishapafikia mkuu.kama wekundu hivi,kama weusi,na picha picha kibao.napaswa kufanya nini baada ya kuona hayo?
 
Uzi mzuri sana huu utawasaidia watu wanaotaka kujitambua!swali kidole utagonga vipi?na kungepatikana namba kwa maswali na msaada mwingine kama utahitajika!pia tungepata Tempe/sehemu kwa ajili ya mambo haya ingekuwa vema sana!
 
Hii elimu nimeipenda sana mkuu rakim nataka kujua zaidi msaada wako tafadhal
 
Ooo
 
Attachments

Nimekuwa motivated kufanya meditation ni kitu kizuri sana hii inaweza saidia hata kuongeza life span ya jamii kwa ujumla hata kupunguza vitendo vya kujiua ( suicide) ambapo husababishwa na msongo wa mawazo.
 
Na mimi hapa nilishapafikia mkuu.kama wekundu hivi,kama weusi,na picha picha kibao.napaswa kufanya nini baada ya kuona hayo?
Endelea kwa kufuata pumzi yako inavyokuongoza nje na ndani hadi hapo utakapo kua thoughtless...
 
Hii elimu nimeipenda sana mkuu rakim nataka kujua zaidi msaada wako tafadhal
Endelea kusoma Uzi huu huku ukifuatilia hatua nilizoelekeza hadi utakapo fika mwisho Wa zoezi,
 
Kwenye mwili wote na pia masikio kama vile yanakata mawasiliano ya nje na kuanza kusikia maneno au nyimbo nilizozisikia kabla
Hizo ni random thoughts zilizopokichwani mwako keep going utaziskia hadi za moyoni...

Rakims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…