Mwanzo wa meditation

Sawa ila kama kuna vitu haujaviweka humu naomba uviweke ili tulielewe somo vizuri ahsante
 
I like it
 
Mkuu rakims kuna uwezekano wa kutumia Binural beats kufungua third eye
 
Nimeanza ile ya pumzi Rakims lkn naona kwenye paji la USO km kuna nyenyele ananitembea kuanzia katikati ya paji LA USO kuja kwenye pua Mara nyingi tuu.
Sijui ndiyo nini hiki?
 
Mkuu nitajuaje Kama brain waves zinabase na delta nyingine ufafanuzi tafadhali
Ni mfano music ni aina gani ya miziki unapenda blues, rnb, solo,hip hop basi na beat zipo hivyo MTU Wa blues hawezi kucheza hip hop,
 
Nimeanza ile ya pumzi Rakims lkn naona kwenye paji la USO km kuna nyenyele ananitembea kuanzia katikati ya paji LA USO kuja kwenye pua Mara nyingi tuu.
Sijui ndiyo nini hiki?
Hii inaitwa third eye awakening ukiiweza vizuri itafunguka hapo were ni kuiongoza direction ya kwenda mkuu,
 
Ni mfano music ni aina gani ya miziki unapenda blues, rnb, solo,hip hop basi na beat zipo hivyo MTU Wa blues hawezi kucheza hip hop,
Mzuka wa kuruka reggae kwenye blues..
 
Hii inaitwa third eye awakening ukiiweza vizuri itafunguka hapo were ni kuiongoza direction ya kwenda mkuu,

Sawa Rakims tatizo lingine limezuka, nahisi km naelea hivi wkt nimefumba macho.
Alafu ntaiongoza vipi hiyo third eye Awakening
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…