Hapana mkuu, hamna shida ila utulivu unahitajikaRakims ivi nikiwa na rafiki yangu tunakaa chumba kimoja afu yeye akawa afanyi meditation kunashida yeyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsant San rakims ninawiki moja tang nianze kufany meditation na bado naendelea nayo mpak nione matunda yake
Mkuu nitakuguide hapa maana group sina watu wanafanya vurugu tu,Ahsant San rakims ninawiki moja tang nianze kufany meditation na bado naendelea nayo mpak nione matunda yake
Na kama kuna group la Whatsap niunge tafadhal 0659981179 naitaj kujitambua niwe spirit
Sent using Jamii Forums mobile app
Rakims ivi kuna dalili zozote ambazo unaweza kuzijua kama third Eye inaanza kuwa awake dalili za mwazo zipoje
Kusikia kama mdudu anapita eneo hilo au kuona mwangaRakims ivi kuna dalili zozote ambazo unaweza kuzijua kama third Eye inaanza kuwa awake dalili za mwazo zipoje
Naitaji kujuw tafadhal
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio imenitokea nilihisi mdudu kunitembea nikajikuna je nilikosea kufanya ivo
Ni sawa mkuu, kufanya hivyo mara za kwanza lakini m sure baadae ukianza kuwa na experience mzuri basi utaweza kutulia na kuona matokeoNdio imenitokea nilihisi mdudu kunitembea nikajikuna je nilikosea kufanya ivo
Naitaji kujuwa pia nivumilie na maswali yang
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante Sana Rakims nitaendelea kumeditate na kila step ambayo tafika nitakuletea mlejesho wangu kwamba nimefikia wapiNi sawa mkuu, kufanya hivyo mara za kwanza lakini m sure baadae ukianza kuwa na experience mzuri basi utaweza kutulia na kuona matokeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiku wakati unakaribia kwenda kulala na asubuhi wakati jua halijafikia kwenye saa 08:45
Tutakuwa pamoja mkuuAhsante Sana Rakims nitaendelea kumeditate na kila step ambayo tafika nitakuletea mlejesho wangu kwamba nimefikia wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Rakims vipi kuhusu nyama siluhusiwi kula kabisa niko tayari kuacha kama inamadhala
Nyama unakula tu na chochote unafanya ila usizidishe sana wala usipynguze sanaRakims vipi kuhusu nyama siluhusiwi kula kabisa niko tayari kuacha kama inamadhala
Nijulishe tafadhal mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Rakims ivi kunauwezekano wa kucontrol majiNyama unakula tu na chochote unafanya ila usizidishe sana wala usipynguze sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio rahisi ila ukifuata vizuri kuanzia mwili akili hadi roho itakuwa rahisi tuKwa waathirika wa msongo wa mawazo, hofu, wasiwasi na maladaptive daydreaming hii meditation itakuwa rahisi kweli kuifanya?
Uwezekano upo lakini inahitaji practice kubwa sana na mudaRakims ivi kunauwezekano wa kucontrol maji
Naitaji nijue pia nivumilie
Sent using Jamii Forums mobile app