Mwanzo wa meditation

Uwezekano upo lakini inahitaji practice kubwa sana na muda

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu toka nianzee kupitia blog yako nimejifunza mengi ila hapa juz kat nimepta sehem nimekutana na article moja inaitwa inner power awakening kuna hii kitu inaitwa KUNDALINI sikuelewa vizuri, kama hutojal utufafanulie vizuri mkuu.
 
Mkuu toka nianzee kupitia blog yako nimejifunza mengi ila hapa juz kat nimepta sehem nimekutana na article moja inaitwa inner power awakening kuna hii kitu inaitwa KUNDALINI sikuelewa vizuri, kama hutojal utufafanulie vizuri mkuu.
Habari mkuu,
Kundalini
Hii ni mawasiliano baina ya jicho la tatu na ground chakra au root chakra inaaminika kuwa chakra hii ndio kipenyo cha kutoa na kuchukua maisha na kuhimili vishindo vya maisha mtu ambaye hayupo vizuri chakra hii mara nyingi huwa ni rahisi kwake kufanya mambo yanayomuhatarisha mwenyewe au yatakayo mgharimu kama vile kujiua hasira za kuharibu vitu n.k na hii chakra pia ndio rahisi zaidi kumfanya mtu ajihisi mungu mtu kutokana na nguvu yake, sasa kundalini ni kuzungumza na utawala uliouaminisha wewe na roho yake wengi huhisi kuwa hapo uwezo wake wa kuwa genius ndio upo hapo maana swali lolote ukiuliza akili yako kwa kundalin basi linajibika kwa ufasaha na uhuru, hii nakupa maelezo rahisi ili uelewe lakini deep ni zaidi na hutaelewa hadi ujue nguvu yake,

Rakims
 
Blog yako inaitwajw mkuu? Mbona tupo gizani?
 
Blog yako inaitwajw mkuu? Mbona tupo gizani?
 
Duhh nina mambo mengi sana ya kujifunza na muda hautoshi
 
Anacho waeleza Rankims sio meditation ni mazoezi ya concetration. Haya mazoezi kwa mwanafunzi anayetaka kufanya anayafanya meditation, ni pamoja na ku-practise kuwa vegeterian na kuondoa ubinafsi kufanya community services. Baada ya hapo lazime upewe initiotion na mtu mjuzi au anaitwa Adept yaani anaamsha chakra yako kuweza kukupa uwezo wa kuweza kupenya kwenye ulimwengu wa mawazo au thoughts na kusafiri kutumia common denomitor of being yaani sound na light, kuvuka mwisho wa akiri na kwenda Rohoni kwako.

Mimi nimefanya Meditation mpaka mwisho. Nime-practise anakiongelea Rankims for 2 years yaani kufanya mazoezi ya kuwa tayari, then nikapata Inition 1982, nime pata level ya kwenda beyond the mind baada mwaka mmoja, it took me 30 yrs kupata enlightment.

Nimepata Enlightment wakati nikifanya kitu tofauti na kabisa na meditation. Rankims tofautisha Meditation na Concetration au contemplation, hakuna dini kwenye maona ya meditation, bali ni imagination, when you do the imagination, you use thoughts and dillusion, you not meditating.
 
Mkuu nikutafute tuzungumze kuhusu hayi makitu nayapendaga sema sijui nianzie wapi
 
Mkuu unachozungumzia ni kitu tofauti kabisa katika Classes za meditation adept huja pale kwa mfanyaji wa meditation anapoingia kwenye delusion hivyo huyu huwa kama coach wa kumuongoza kutoka katika delusion kuja kwenye reality hii ninayofundisha ni self meditation ambayo mtu anafanya mwenyewe na hicho unacholeta wewe ni therapist,

Kwanza kabisa kwenye meditation hutakiwi kuimagine/concertration au visualization unatakiwa kuwa na awareness pekee mkuu meditation sio kitu cha kusoma vitabu viwili vitatu ukachanganya na akili zako ukaona umeifahamu hapana still bado unamengi ya kujifunza maana hata ulichozungumzia hata ni nje ya keys za beginner na thread hii inajieleza,

Mwanzo wa meditation

Rakims
 
Nimejieleza mimi ni Adept. I am 59 yrs old, almost three quarter of mylife i have been into Yoga and Meditation. Sihitaji kitabu kumueleza mtu ninachokijua.
 
Mkuu mi nataka kama zile za kutoka unaenda kuzimu kutembea unarudi nyuma ya muda au unaendaxmbele ya muda kama zipo nahitaji mwalimu mkuu
 
Naona wewe unahamu sana ya kupata Power, kwa sababu nimeona umemuuliza Rankims juu ya uwezo kusafiri back in space. Meditation na Yoga is about spritual knowledge, sio kitu cha mchezo na kupata power. Kwa mfano hiyo inayoiulizia ni hatari sana inatwa Astro projections inafanyika ukiwa na hali ya karibu na umauti hali ya kuzimia lakini unaufahamu, unaweza usirudi mwilini kama hakuna mazingira mazuri, Please kama utafanya meditation achana na kutaka power, ni hatari pia zinajenga kiburi ambacho kinyume na malengo ya yoga na meditation.

Kukujibu swali lako; sina ujakika kama bado kuna group inafanya kama tulivyo kuwa sisi miaka ya 80's. Kulikuwa na Group la TM yaani Trascendetal meditstion hili lilkuwa lina kuongoza kumeditate kwa kutumia Mantra, lilokuwa linaongozwa na Mansour Daya, nilianzia hapo, lakini baadae nilijiunga na Lifewave Meditation or Path ndiko nilipopewa initition Light and Sound mwaka 1982. Group lilivunjika baada kiongozi wa juu kuamua kuvunja Lifewaze as an organization, hivyo kila mtu akaenda kivyake, lakini nilisha pata level ya juu hivyo niliendelea kufanya meditation na kupata rialization mbalimbali mpaka nilipofikia mwisho. Sijui kama wenzangu wameamua kufungua spritual centers na wanatoa mafundisho tunaita Discoze. Kwa kuanzia mtafute mtu mmoja anaitwa Rashid Mbuguni, ni one of the owner wa gazeti la majira yeye ndie aliileta Lifewave, atakuwa ana contacts za Discoze centers I am sure anaweza kuwa anashiriki direct au kama mkufunzi mwalikwa, atajua zinafanyikia wapi. Vilevile njia rehidi kumpata pale Majira pana mwanae anaitwa Aga Mbuguni. Kamuulizie tuu.
Mkuu hayo mnayoongea vyuo vyake viko wap tunataka elimu hiyo sisi
 
Mkuu hizo astral projection nimejaribu lakini kila siku sifanikiwi nimesoma vitabu kama kumi na kitu nimejaribu kupitia video mbalimbali imeshindikana xaxa naona bora nitafute mwalimu maana namajambo yangu nataka niyafatilie
Kuhusu hao watu ulionitajia mkuu kuwapata kwa majina tu ni ngumu mkuu labda ungerahisisha kidogo alternative ways kuwapata
 
Nimejieleza mimi ni Adept. I am 59 yrs old, almost three quarter of mylife i have been into Yoga and Meditation. Sihitaji kitabu kumueleza mtu ninachokijua.
Sawa hapo nimekuelewa ila what i mean ni kwamba hii thread ni mahususi kwa waliokuwa hawana idea na spiritual journey kwa maana naangalia percent za waliokwisha jua na baadae niweze kuwaongoza hatua kwa hatua ndio maana unaona kuna watu wanapokea hii kitu kama hadithi za mtaani tu mkuu, Tanzania inahitaji msasa mkuu na ufundishaji unatakiwa umfundishe mtu chekechea kwenda chuo

Rakims
 
Mkuu mi nataka kama zile za kutoka unaenda kuzimu kutembea unarudi nyuma ya muda au unaendaxmbele ya muda kama zipo nahitaji mwalimu mkuu
Mkuu hizo ni hadi uvuke huku chini uweze kujiground kwanza baadae ndio kuja kujifunza kumerge na mengineyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…