Mwanzo wa meditation

Kuna mtu nilimsikia akisema, eti Hawa jamaa wanaojiita Manabii wa Sasa mautundu wanayatolea huku kwenye masomo Kama haya then wakiweza ndo wanaanza kujiita manabii na kutumia Kama fursa kwenye makanisa. Ni ukweli juu ya hilo meditation zinaweza kufanya Mambo hayo?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwa meditation kumfanya mtu ajione nabii sio jambo geni na ni moja kati ya madogo sana anayoweza kuarchieve mwenye kufanya meditation lakini ni mjinga mwenye kuishia hapo

Rakims
 
Mkuu mimi mara nyingi nimekuwa kila nikijaribu kufanya meditation usiku kabla ya kulala najikuta nimepitiwa na usingizi nakuzinduka asubuhi. Je, Inaswihi kabla ya kuanza kufanya meditation nikilala usingizi kidogo huku nimetegeshea alarm ya saa ikifika muda fulani iniamshe kufanya meditation?
Inafaa kutumia kinywaji cha "Energy-drink" kabla ya kuanza kufanya meditation ili ku-boost ubongo ili uwe active?
 
Ni nzuri kujipumzisha kisha kuamka kufanya meditation lakini kwa kutumia energy drink sio sawa mkuu, maana inahitaji utulivu unapofanya lakini pia ukifanya usiwe umechoka, energy drink huboost sehemu za mwili na kupaondolea utulivu sasa ukiwa unafanya na hicho kinywaji kinafanya kazi basi itakutengenezea illusion. Na itakushawish kuimagine

Rakims
 
Sawa mkuu. Na je, mtu akifanya Astra projection kabla ya kuanza na mwanzo wa "Meditation ya pumzi" atakuwa amefunguwa "THIRD EYE" au third eye inafunguliwa na meditation ya pumzi peke yake?
 
Kuna njia chache za kufungua third eye lakini nyingi si kweli njia moja tu ambayo inaweza kukufanya ujue third eye imefunguka ni meditation na bora katika hizo ni moja tu meditation ya pumzi ambapo unafungua bila concentration au imagination ambazo zinapolekea illusion ambayo hufunga kabisa third eye.

Rakims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…