Mwanzo wa meditation

Hii ni complete beginning guide ya meditation mkuu, unaweza kugungua third eye na kuarchieve stages kubwa za meditation.
Sema mwisho wa hii video kaweka vurugu zingine hazieleweki/hazina ukweli na katikati pia

Rakims
Mkuu kuna ukweli kwamba mtu akiwa anataka kufanya "meditation au astral projection" inatakiwa awe na msimamizi ambaye nayeye ni mzoefu (yaani kwa maana nyingine kama baba wa kiroho) ambaye hata Kama ikatokea mtu amefanikiwa kutoka nje ya mwili na ikatokea ameshindwa kurudi basi yule anayemsimamia wakati huo atajua namna gani ya kumrudisha?
Au mtu anaweza kujifanyia tu hata akiwa peke yake?
 
Wengi tuliothibitisha OOBE ni watu ambao tumesoma kisha tukafanya wenyewe hakuna mtu anaeweza kukuongoza na kukulinda ni kama ulivyo hapa kwenye ulimwengu wa nyama na ulimwengu wa roho hauna tofauti zaidi ya mazingira na experience.

Rakims
 
Mkubwa Rakim, me nimefanya kwa mara ya kwanza! Nilikuwa nimekaa kwenye kiti!
Kuna changes nilizihisi mwili wakati naendelea,
1. Kichwani na usoni nilihisi vibration zilizoandamana na makelele mengi ya Magari, watu, movement na story za mpira! Nilijaribu kuzizuia ila kadri kila nikijarb kwenda deep kwa kuziignore bado zilizid na ukafika muda kama zikatulia na kichwa, usoni in general ikaanza Vibration iliyosambaa mwili mzima kwa muda na ndipo nikatoka.

2. Ila kuna ishu nimeiona nikashindwa kuelewa why its happening! Nayo ni kujaa mate mdomoni, i don know why? Why yajae na nikiyameza makelele yanaanza, au kuna muda hayatokei.

Baada vibration kuzidi nilitoka na kwenda kujilaza kitandani, nikafumba macho na kuvuta pumzi nikiamini kuwa natuliza ganzi na vibration ilikuwa inaendelea ila ghafla nilianza kuona rangi fulani, huku jicho la kushoto na kulia (macho) yakicheza kwa kujaribu kutambua rangi hizo! Nilikosa concentration na kutoka! Nikalala kawaida!

Naomba kujua, unaona nini kwenye haya niliyokuambia. Jana ilikuwa mara yangu ya kwanza kufanya.
 
Endelea mkuu siwezi kutoa judgement kwenye hilo kwa maana ndio kwanza umeanza you should keep moving na pia kichwa chako kiko sense sana hivyo jitahidi kupunguza taharuki ya fikra ukiwa unafanya

Rakims
 
Nitarudi na ushuhuda wangu wa OBE. Nilifanikiwa. Ila sio rahisi asee kwa beginners.
 
Hiyo Ni Third Eye Inajijaribu Lakini Bado Sana... Mpaka Takataka Ziishe Ubongoni Badala Ya Hiyo Sura Yako Utaanza Kuona Matukio Yako Clear..

Ngoja Nimalizie Somo La Jana

#Rakims
Mkuu Rakims nilipitia post moja kwenye ukurasa wa Dalai Rama imeandikwa Kama mtu unajifunza meditation na unataka kufungua the third eye usipendelee sana kuangalia tv, na kuweka mawazo Hasi moyoni mwako kama chuki, hasira huzuni na badala yake jitahidi sana uwe ni mwenye upendo na huruma kwa wengine na amani ya nafsi yako. Je, ni kweli, na kwanini, Kuna uhusiano gani na hayo?
 
Ni kweli kwa kiasi kidogo na pia ukweli kuhusu kuangalia tv na kuwa na chuki moyoni vinapelekea visualization au imagination ambayo humpelekea mtu kutengeneza mawenge kichwani na inapofunguka third eye anashindwa kujua imegunguka kweli au mawenge tu

Mf: watu wanaotizama sana series wakiipenda hujikuta wanawaota wahusika wa humo kuwa kama ni watu sehemu ya maisha yao

Rakims
 
Asante Mkuu
 
Mkuu Rakims hivi kuna njia yoyote ya kufungua chakra yoyote ile tofauti na meditation?
 
Mkuu Rakims hivi kuna njia yoyote ya kufungua chakra yoyote ile tofauti na meditation?
Kuu ni meditation zingine ni tricks za meditation kama yoga n.k

Rakims
 
Mkuu Rakims Third Eye ikifunguka hata mke Kama anafanya usaliti na mwanaume mwingine inakuletea picha? Au yenyewe inaleta picha za matukio yaliyopita tu?
Ukiwa umekomaa vizuri mkuu, inafanya hivyo lakini kwa wengine huwaletea telepathic ability

Rakims
 
Mkuu naomba siku moja utuletee hapa vaasi yoga/meditation naskia ni nzuri sana, ila namna ya kuipractice ndo issue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…