Mwanzo wa meditation

Mkuu Rakims Mimi nimejaribu kulala chali nikiwa nimeweka air phone masikioni nikiwa kwenye utulivu nasikiliza benaural beats nilianza kuhisi vibrations kwenye miguu ikupanda juu, nikaanza kuhisi naanza kuelea juu Nikajikurupua nikijua nimetaka kuingia kwenye Astra Projection, nawakati lengo langu ni kuzifungua chakras then nifungue third eye, nilikosea kujikurupua au nilikuwa sahihi? Ni dalili njema au mbaya?
Na je, Chakra zinaweza kufunguka huku umelala chali tofauti na kukaa?
 
Meditation jambo kuu la kwanza kabisa ukiwa unaanza kulizingatia ni mkao. Kulala ni AP sio meditation mkuu meditation inataka mkao na hiyo ndio hudeal na kuawaken chakras

Rakims

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Meditation jambo kuu la kwanza kabisa ukiwa unaanza kulizingatia ni mkao. Kulala ni AP sio meditation mkuu meditation inataka mkao na hiyo ndio hudeal na kuawaken chakras

Rakims

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Inawezekana ku open all chakras huku nimekaa kwenye kiti? Maana Mimi ule mkao wa kuikunja miguu X huwa unanishinda miguu huwa inaniuma nikikaa vile.
View attachment 1575245
 
Mkuu Rakims na ya ku_focus mlio je, kwa njia ya benaural beats ni sahihi inafungua au na yenyewe inatengeneza illusions?
 
Hii kitu nilikuwa nakutafuta sana mkuu. Wacha niifanyie kazi kwa utulivu.
 
Mkuu Rakims hivi kwenye Astra projection inapatikana hii power inayoitwa "TELEKINESIS" au yenyewe humo haimo ipo tu kwa ma meditators peke yao?
Katika powers zote hii kwangu mimi is the best,,.
[emoji848]Yaani mtu unasogeza na kuamuru vitu kwa nguvu ya mawazo! Chochote unachotaka kiwe kinakuwa.
Mfano ukitazama film zinazoitwa Lucy, X-Men, Merlin, Doctor Strange, Push na The Gifted wameielezea nguvu hii kupitia sanaa.
Hii inafanana na zile stori za watu wa zamani kwamba walikuwa wakiunyooshea kidole mti unakauka. Akina Mwanamalundi n.k
 
Hii psychic power kweli ipo mkuu lakini sio kwa kila mtu, ni baadhi ya watu wanayo nao ni hadi wafanye practice hasa

Rakims

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…